Kulingana na Shirika la Habari la Hawza, Wananchi wa Iran katika Maandamano ya "Bahman 22" (Ukumbusho wa Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran), wakiwa na mahudhurio mazuri na ya kustaajabisha, ambapo walipiga nara zao za uungaji mkono wao wa hali ya juu kwa Mapinduzi ya Kiislamu, kwa Kiongozi wa Mapinduzi na malengo Matukufu ya Mapinduzi haya, na kwa mara nyingine tena wakawakatisha tamaa maadui walioapa dhdi ya Uislamu, Qur'an na Mfumo wa Kiislamu, na wakawapiga ngumi kali mdomoni.
Your Comment